Huu uzi ni wa vyakula kwa hiyo ondoa undezi wako hapa.Kama unataka kupambana na mimi tukutane kwenye majukwaa ya siasa.Kila mtu anajua kuwa awamu hii CCM badala ya kuiba kura walilawiti uchaguzi.Unalijua hilo,nalijua hilo na CCM pia wanalijua hilo na hata waangalizi wa uchaguzi wanalijua hilo.
Kutokana na hilo msimamo wa chama ulikuwa ni kuwanyima CCM ushirikiano wa aina yoyote ile kwa sababu serekali yao siyo halali,ni serekali iliyokosa kibali cha wananchi.Hayo mambo unayoongea ya unyanyasaji sijui wa kijinsia ni mawazo yako tu ya kujifurahisha nafsi yako.Hayana ukweli wowote wala ushahidi wowote na pia siyo fact na ndiyo maana huwezi kuthibitisha uongeacho.Ni porojo tu za vijiweni za wana CCM walioishiwa hoja.