Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kwa nini simute tu?Sasa nitakufukuzaje hapa kukupeleka kwenye jukwaa la siasa bila ya kutia neno lolote?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ile siku baada ya uchaguzi mbona ulipost
Sasa kwanini usimute tu kama hutaki kupost siasa
Wacha Bwana kaka Ni yeyeKwa nini simute tu?Sasa nitakufukuzaje hapa kukupeleka kwenye jukwaa la siasa bila ya kutia neno lolote?
[emoji1][emoji1][emoji1]haswaaHii ni pizza ya asili eee [emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe dawa yako inachemka ngoja siku uje kwenye angle zangu kwenye majukwaa ya siasa huko!Wacha Bwana kaka Ni yeye
[emoji1787]
Angle gani hizo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe dawa yako inachemka ngoja siku uje kwenye angle zangu kwenye majukwaa ya siasa huko!
Ila now umekuwa Maria Sarungi wa jfAngle gani hizo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakutana na nyumbu wenzio kila siku,sasa hivi wamepoteana vibaya mno[emoji1787]
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2098]Ila now umekuwa Maria Sarungi wa jf
Wewe pona yako ni kuja kuniquote siasa kwenye uzi wa chakula ambapo nakua sina jinsi ya kukuparua!Angle gani hizo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakutana na nyumbu wenzio kila siku,sasa hivi wamepoteana vibaya mno[emoji1787]
Nipo jukwaa la siasa tangu Jana[emoji38]Wewe pona yako ni kuja kuniquote mambo ya siasa kwenye uzi wa chakula ambapo nakua sina jinsi ya kukuparua!
Nimekutumia recipeAsante dear, unaziloweka kwanza? natamani kupika ila sijui kuhusu kupata unga, please naomba msaada process za kutengeneza unga wake, asante
duh!! hu ni ugomvi na tumbo langu
Vitu vyangu hivi babyBila kusahau ile kitu unapenda[emoji6]View attachment 1635092View attachment 1635093
Sema nimeshajua wewe mvivu kupika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bila kusahau ile kitu unapenda[emoji6]View attachment 1635092View attachment 1635093
Upo kwenye uzi wa mapishi utazidi kuwa chibonge, utakua muda wote unatamani kulaSi upike hiyo hamira hapo ule.mbona mnafanya maisha yanakuwa magumu hivyo