Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

.
IMG_20201022_200202_768.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe dawa yako inachemka ngoja siku uje kwenye angle zangu kwenye majukwaa ya siasa huko!
Angle gani hizo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakutana na nyumbu wenzio kila siku,sasa hivi wamepoteana vibaya mno[emoji1787]
 
Wewe pona yako ni kuja kuniquote mambo ya siasa kwenye uzi wa chakula ambapo nakua sina jinsi ya kukuparua!
Nipo jukwaa la siasa tangu Jana[emoji38]
Njoo uniparue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Ni yeye"[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Mshana mwenyewe sijui amepotelea wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom