Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Screenshot_20201221-141425.jpg


Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Kuna pepsi kwenye fridge...nikutilie barafu au hivyo hivyo??? Kuhusu pilipili inabidi uonje kwanza maana nshaweka pilipili manga jikoni [emoji846]

Pepsi imetulia mpendwa [emoji4][emoji4], pilipili nasikia yes
 
Back
Top Bottom