Lizzy [emoji91][emoji91]
Dah!![emoji2][emoji2]Kikubwa uhai...View attachment 1631402
Umefuraaaaahi mwenyewe 😊😊Lizzy [emoji91][emoji91]
Mbona unanitesa hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]Umefuraaaaahi mwenyewe [emoji4][emoji4]
Haya ukuje tule 🙂🙂🙂Mbona unanitesa hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sodata maji ya kunawa nakula kwa mkono, wapi pilipiliHaya ukuje tule [emoji846][emoji846][emoji846]View attachment 1656015
Bora umerudi kutuchangamsha Mshana 🙂🙂 Hizo dagaa zinatamanisha 😋😋
Kuna pepsi kwenye fridge...nikutilie barafu au hivyo hivyo??? Kuhusu pilipili inabidi uonje kwanza maana nshaweka pilipili manga jikoni 🙂Sodata maji ya kunawa nakula kwa mkono, wapi pilipili
Kuna pepsi kwenye fridge...nikutilie barafu au hivyo hivyo??? Kuhusu pilipili inabidi uonje kwanza maana nshaweka pilipili manga jikoni [emoji846]
Niliwamiss sanaBora umerudi kutuchangamsha Mshana [emoji846][emoji846] Hizo dagaa zinatamanisha [emoji39][emoji39]
Pweza na waliKitu cha pweza wa nazi na ubwabwa View attachment 1631464
Nguvu za kiume
Ohh kumbeNguvu za kiume
Mhmhh Ulipotea, naona umerudi sawa na mshana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], habari yako