DuuuKaka kamata hii kitu kutoka QT Falls Creek- QT HotelS and Resorts ndani ya Mozambique
View attachment 567254
Honey-Glazed, Spit-Roasted Suckling Pig
View attachment 567255
Yule ni mende aliyekaushwa eboh!Hiyo mikate mshana ni panya huyo?
Madame S
Mashaallah![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji102] [emoji102]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda ikawa na ladha zaidi ya kiwiliwili au ni tiba..
Mikono yako imehusika kutengena hivi vitu?
Dah [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji39][emoji39]
[emoji15] [emoji15] [emoji102] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Kiongozi mshana jr hapo juu umeua.
Mihogo ya kuchemsha, kwa Kachumbari.
Ukija kwenye Kishombo cha kuchemsha, kushushia Chai ya Rangi!
Huo Mlo umeenda Shule.
Unanifanya nibaki na maswali mengi ya kujiuliza:-
Hiyo Chai ndani yake imewekwa Hilki?!
Au hiyo Chai imechemshiwa na Mchai Chai?!
Au Chai hiyo imechemshiwa na Viungo vingine Mchanganyiko?!
Jamani
Hichi hapa
Ha ....
Hapa vipi