Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu


Acha tu.


img_20170713_205337-jpg.566638
 
Nilienda garage moja wakati nasubiri gari mafundi walikuwa wanaandaa msosi nikaomba niwaandalie mboga (dagaa, bamia, nyanya chungu na mazagazaga mengine)
Duh ilikuwa hatari

Sent from Ili iweje
Wewe Mtu Nyanya Chungu unaijulia.

Siku zote Nyanya Chungu inaendana na Bamia.

Sema nimegundua Nyanya Chungu yako unapenda kuimenya.

Hebu siku nyingine ipike na Maganda yake ili upate kitu roho inapenda.


img_20170815_122946-jpg.566653
 
Rafiki yangu kibonge-Shunie njoo huku kuna mambo yako yale!![emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom