Viporo mixers[emoji23]Sijui nikipe jina gani ichi chakula.View attachment 1687660
Iyo chai inantiaga kiungulia
Sijui nikipe jina gani ichi chakula.View attachment 1687660
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Good morning View attachment 1687913
Huyo ni changu!?#Ujamaa kama azimio laarushaView attachment 1688189
Huyo ni changu!?
Leta ushahidi wa kimaandiko.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Tufani ni tunda alilokula eva bustani ya eden ndiyo akatupoteza wote, sili tunda la mti hule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pishi la january hilo,
Hana njaa huyoPishi la january hilo,
Kuna ndugu yangu mmoja ukimuwekea chakula kijiko kimekua hivo ndani ya wali anaweza asile
Yeye anadai anajisikia tu kama kinyaa flani hiviKwanini?
Uzungu?
Usasa?
Imani za giza?