Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha..! Huwa tunamshangaa sana.Duh ana mafikara yake mabaya tu huyo..pengine mambo ya topeni
Huyo ni Kingfish. Kiswahili ni nguru na sio Jodari.Huyo ni jodari au kingfish
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mkuu soma kwanza injili halafu ndiyo nije kufafanua itakua rahisi [emoji23][emoji23]Leta ushahidi wa kimaandiko.
Huyo ni Kingfish. Kiswahili ni nguru na sio Jodari.
Jodari nafkiri ni Tuna in English
Mmmh mboga nisamehe tu
Hii ina mahali pake ngojja niipeleke[emoji16]Wekeni ubwabwa hapo mkate siku.View attachment 1689015
Wekeni ubwabwa hapo mkate siku.View attachment 1689015
Ook. So sorry my dear. Won't repeat my ufalaaAcha ufala nimetaja wote wawili wakipikwa na ukiona picha ni kazi kujua ni yupi mie nimeona picha nikahisi ni hao wawili sasa umekuja kubisha kama vile nimesema ni jodari tu !!
[emoji3059] thanks darlingPole..duh...!!!
Rokesheni!?Hili kongoro rost mix mchicha ni next levelView attachment 1689079
Daaah!!Nimepatwa na wivu yaani!🚶🚶🚶[emoji8][em[emoji7]
Mkuu nami nipatie kidogoAcha zako izo ala..![emoji35][emoji34]