Uzi wa vyakula tu

Huyo ni Kingfish. Kiswahili ni nguru na sio Jodari.
Jodari nafkiri ni Tuna in English

Acha ufala nimetaja wote wawili wakipikwa na ukiona picha ni kazi kujua ni yupi mie nimeona picha nikahisi ni hao wawili sasa umekuja kubisha kama vile nimesema ni jodari tu !!
 
Wekeni ubwabwa hapo mkate siku.View attachment 1689015

Umekula tunda gani leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…