Miraculous ABC drink..[emoji39]
View attachment 1689769
YeahSkin remedy ?
Mbezi makabe iyo mkuu!Rokesheni!?
Hivi Salmon anaitwaje kwa Kiswahili?Huyo ni Kingfish. Kiswahili ni nguru na sio Jodari.
Jodari nafkiri ni Tuna in English
Rafiki mie nakuletea mtindi wa kutafunia hii kitu!😄😄😄Lunch la jioni.View attachment 1690032
Kesho nitapika hivi[emoji39][emoji39]Usiku twende hiviView attachment 1690095
Labda ungeweka picha. Lkn kwa jina hilo nakumbuka ni kibua au jamii hioHivi Salmon anaitwaje kwa Kiswahili?
Nausubiri rafikiRafiki mie nakuletea mtindi wa kutafunia hii kitu![emoji1][emoji1][emoji1]
NaamKesho nitapika hivi[emoji39][emoji39]
Mkuu huyo ni rafiki tu wala sina maslahi nae mengine.Nshakukanya.....[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nijifariji na misosi ya humu..maana si kwa njaa hii