curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,618
Kama macho yako yanakwambia kuwa kuna paja la mtoto hapa tujuane
Mkono huo bana 😄Kama macho yako yanakwambia kuwa kuna paja la mtoto hapa tujuane
Utoage mwaliko basi! [emoji15][emoji15]
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Asiehhhhhh umenifanya nikumbuke pilau mbuzi mix ndizi
Utoage mwaliko basi! [emoji15][emoji15]
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Asiehhhhhh umenifanya nikumbuke pilau mbuzi mix ndizi
Afya tupu hiiMwanaume wa dArView attachment 1699477
Ee kakaDadeki?
Home made hii mkuu?
Kudadeki!Mwanaume wa dArView attachment 1699477
Imebidi leo ndiyo nile sasa baada ya kupata hamu [emoji39]ha ha ha ufanye weekend upike
Emu muite mhudumu hapo akupe hata maji, nimefika hapa mataa nakuja.Imebidi leo ndiyo nile sasa baada ya kupata hamu [emoji39]View attachment 1699788View attachment 1699789
Vitu laini, mti wenye matunda mara zote ndo hupigwa mawe!....chips yai tamu jamani asikwambie mtu. Kuzipaka matope kuwa zanaua nguvu za kiume ni kuzionea gera kwamba zinaongoza kwa kuliwa na watu wengi tanzania nzima!!...Mwanaume wa dArView attachment 1699477
Mkuu unakuja kufanya nini hebu nenda kale nyumbani kwa mkeo urudi kazini kwani na wewe ni senior bachela kama mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Emu muite mhudumu hapo akupe hata maji, nimefika hapa mataa nakuja.