Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imebidi leo ndiyo nile sasa baada ya kupata hamu [emoji39]View attachment 1699788View attachment 1699789
Yes ni ndizi mshale, wewe unapendelea zipi mshale, bukoba, kimalindihizo ndizi mshale?
Nilikuwa ninaipenda sana ile avatar yako ya mwanzo ya yule dada "black beauty" wa South Africahizo ndizi mshale?
Yes ni ndizi mshale, wewe unapendelea zipi mshale, bukoba, kimalindi
Nilikuwa ninaipenda sana ile avatar yako ya mwanzo ya yule dada "black beauty" wa South Africa
Kwa mtori bukoba ni nzuri zaidi, umeshawahi kunywa mtori wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]napendelea mshale hasa zipikwe na Utumbo
Ni avatar nzuri sana ya black queenwewe ni mtu wa tatu unaniambia haya nimeirudisha, anaitwa Nandi Madida au Nandi Mngoma.
Wewe jamaa unakula balaa utakuwa turbo[emoji3]Haina noma twende hivi.View attachment 1700618
Sio nakula tu nakula chakula kizuriWewe jamaa unakula balaa utakuwa turbo[emoji3]
Kweli nimeona.Sio nakula tu nakula chakula kizuri
Unapenda kula wewe kama mdogo wangu wa mwisho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haina noma twende hivi.View attachment 1700618
Hata mimi nimemsema [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe jamaa unakula balaa utakuwa turbo[emoji3]
Safi
Karibu sanaKweli nimeona.
Nikaribishe basi nije kula.
Kuna tatizo katika ilo mkuu.Hata mimi nimemsema [emoji1787][emoji1787][emoji1787]