Viungo big sio mafutamafuta hayo duu sipendelei kabisaa
Mwendo wa kulumangiaAfya tupu
Hii ipate combination ya chapati juu, duh! 😝View attachment 1713243
Hii ilikuwa wiki ya kula kuku
Kopo la uzima hilo, afya tele! 🤣
Naona mchemsho hapo juu, au macho yangu tu?Nmebatika kupata kipande cha sato.View attachment 1718233
Habari ndo hiyooo! 👌😋
Leta moja baridi, moja moto! Fasta ya dwasi basi! 😋🏃🏾
Mwagia maji ya limau juu, ngoma itambae!mafuta hayo duu sipendelei kabisaa
Safi hiyoNmebatika kupata kipande cha sato.View attachment 1718233