Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Naombeni ugali maana kama muonavyo, sato yupo tiari
IMG_52662_62625_.jpg
 
UNAFAHAMU JINSI VINAVYOANDALIWA? KWA MUDA MREFU NATAMANI KUJIFUNZA
Mimi najua kuwa ni viazi hivi vya chipsi vinachemchwa kwa maji chumvi na mafuta kidogo,then baadae vinapondwapodwa na unaweza kuweka na butter(mfano blue band) then mzigo unakuwa sawa.
 
Back
Top Bottom