Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeumiss? Pole swaheebHunifanyii fair kabisa!! [emoji24][emoji24][emoji24]
Mmhhh. Samaki gani hy ?Mwenzangu kama unakula saa hongera wengine njaa ikiuma tu wanapanda.View attachment 1720767
Kwio wamekuangusha ...moo umepatia[emoji3]
KambaleMmhhh. Samaki gani hy ?
Nn[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakula vitu vikavu sana ndiyo maana chura haioti vizuri
Ka ni wewe mkuu umelisuka hivyo, hamna kuoa aisee! 🤣 🤣 🤣Kuna kuoa kweli hapa ndugu zangu??View attachment 1720892View attachment 1720893View attachment 1720895View attachment 1720896
Nimeu miss balaa inafika mwaka sasa!Umeumiss? Pole swaheeb
hizi chapati upande wangu huwa nikipata na maharage yenye tui la nazi limekolea na chai ya mdalasini huwa najilamba vidole kama mtoto.Kuna kuoa kweli hapa ndugu zangu??View attachment 1720892View attachment 1720893View attachment 1720895View attachment 1720896
Ewaaaa....hapo unapiga hata tanohizi chapati upande wangu huwa nikipata na maharage yenye tui la nazi limekolea na chai ya mdalasini huwa najilamba vidole kama mtoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kulea mtoto unalea mwenyewe mkuu naona chupa ya mtoto hapo[emoji14]Kuna kuoa kweli hapa ndugu zangu??View attachment 1720892View attachment 1720893View attachment 1720895View attachment 1720896
Haiwezekani umepika wewe, kama wewe ndiyo umepika basi wewe fundi hongera sana, mimi napenda sana chapatiKuna kuoa kweli hapa ndugu zangu??View attachment 1720892View attachment 1720893View attachment 1720895View attachment 1720896
Hahaha trust me hizo nimepika mimi...Na kulea mtoto unalea mwenyewe mkuu naona chupa ya mtoto hapo[emoji14]
Kingsmann
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Mkuu nina jiko kwa hiyo ishu za kupika pika nipo vizuri mnoo...Haiwezekani umepika wewe, kama wewe ndiyo umepika basi wewe fundi hongera sana, mimi napenda sana chapati
Sawasawa bhanaHahaha trust me hizo nimepika mimi...