Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mie mwenyewe nlishtuka. Nimeangalia mara mbili mbili [emoji28][emoji28][emoji28]ile nyama kule mbona imekaa kama....
Huna akili [emoji34][emoji1732][emoji1732][emoji1732]Napenda sana dognout (Donat) tatizo hivyo zilivyo round zinanihamisha mawazo hata kipindi nikiwa nazila!
Kwa wale ambao wameshawahi kucheki American pie 1-6 Watanielewa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji849]. Sio mashezoo!!!Saturday flani hivi tulivu..View attachment 1724513
Karibuni tupike pamoja wakuu, chakula pendwa ndizi mchale+ nyama
HiviMwenye vitumbua, pishi la pwani naomba
Dada wa mimi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Huna akili [emoji34][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji1751]Muhogo wa nyama na pilipili kdg [emoji1786]View attachment 1725472
Usisahau chai ya maziwa pembeniMuhogo wa nyama na pilipili kdg [emoji1786]View attachment 1725472
Inapatikana wahi hichi chakula?
Kijitonyama, anaitwa neycassavaInapatikana wahi hichi chakula?
Pale karibu na shule pembeni ya lami?Kijitonyama, anaitwa neycassava
Karibu na miti mirefu barPale karibu na shule pembeni ya lami?