curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,618
[emoji849]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oa chapati bana usitupe tabuKuna kuoa kweli hapa ndugu zangu??View attachment 1720892View attachment 1720893View attachment 1720895View attachment 1720896
Iko sita..Chakula pendwa cha wakazi wa DarView attachment 1723649
Daaaaa aiseeeKaribuni chapati.View attachment 1724092
Nimeelewa sasa, shukranUtumbo ni utumbo hauna wingi bali una aina, mfano utumbo mkubwa, utumbo mdogo, utumbo taulo, utumbo bomba, utumbo kitabu nk
Matumbo ni wingi wa neno tumbo (stomach) kwa mfano
Tumbo lake limejaa gesi, matumbo yao yamejaa gesi
Kuna watu wana matumbo makubwa na kuna watu wana matumbo madogo nknk
Hivyo kuviita vile vya ndani 'matumbo' sio Kiswahili sanifu japo majirani zetu ndio wamezoea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ikifikia hapa waeza kuwa jambazi sugu bila kupenda, maisha balaa! 🤣 🤣 🤣
Dah, udenda wantoka tu hapa nlipo! 😋😝Karibuni chapati.View attachment 1724092
NaamSaturday flani hivi tulivu..View attachment 1724513
Maktaba ya. Taifa sioKutoka maktabaView attachment 1724532
Ebana..tunafukunyua makabrashaMaktaba ya. Taifa sio
Nakubali pitia hapa mtaani upate weekendEbana..tunafukunyua makabrasha