Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Duh ndafu spesho asee khaaaa [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh ndafu spesho asee khaaaa [emoji23] [emoji23]
Hii ndo wanaitaga 'hot dog' au? [emoji23]
Ndafu hii haina gharama nyingiDuh ndafu spesho asee khaaaa [emoji23] [emoji23]
Ni hatari tupu.Ndafu hii haina gharama nyingi
Pia maandalizi yake haya chukui muda mrefu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya mapicha ya kuscreenshot kutoka insta kwa resty sio mahala pake hapa tunataka vitu homemade,au cha hotelini,msibani,harusini au bar
WamenonaNdafu ya Mamba![]()
Umenunua wapi mkuu? Napenda vitu unique![]()
Karibuni tule jojo
Ni matam sana, jinsi kama vilivyo viazi vitam, sema hili ladha yake ni ya kibabe zaidi.Hayo mashelisheli yana ladha gan mwanzo sikujua kama yana liwa coz nilikuwa naona watoto wacheza nayo kama mpira
Katika kuliwa kwake linaliwa kama embe au ndio mpaka lipikwe
[emoji30] [emoji30] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] I miss this part[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Kwenye supermarket nyingi tu zipo sasa haswa zile za wahindi ndio kuna variety ya hizi mamboUmenunua wapi mkuu? Napenda vitu unique