I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Hiyo picha ya juu ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo picha ya juu ni nini?
Fish katlesHiyo picha ya juu ni nini?
Aaah inavutia sanaFish katles
Hapo ulipigwa, hebu nialike siku kuu moja nije nikupikie biriani!wenyewe wanaita biriani ndiyo maana nikasema ni mojawapo ya biriani baya kula, kuanzia Mchuzi, kachumbari hadi huo wali wenyewe
Vitu vya Burning spear steak ranch! [emoji2363][emoji2363][emoji2363][emoji24][emoji24][emoji24]
hivyo vilivyo katwa vipisi vipisi vyeupe Ni nin?
hivyo vilivyo katwa vipisi vipisi vyeupe Ni nin?
Yanapatikana wapi?Makaroni
Constipation in the making.Fresh toka mtini View attachment 1771908
Macaroni mkuuhivyo vilivyo katwa vipisi vipisi vyeupe Ni nin?
Tamu sana. Na rahisi kupikaAaah inavutia sana
Kama unajua kupika spaghetti basi process inafanana.Yanapatikana wapi?
Yanapikwaje?
OkKama unajua kupika spaghetti basi process inafanana.
Sema macaroni ni magumu kdg kuwiva.
Yanapatikana maduka ya foodstuff au supermarket.
Ni something like nyama nyama ama mboga mboga? sorryMacaroni mkuu
Aina ya tambi. Kama spaghetti.Ni something like nyama nyama ama mboga mboga? sorry