Uzi wa vyakula tu

wenyewe wanaita biriani ndiyo maana nikasema ni mojawapo ya biriani baya kula, kuanzia Mchuzi, kachumbari hadi huo wali wenyewe
Hapo ulipigwa, hebu nialike siku kuu moja nije nikupikie biriani!
 
Ni something like nyama nyama ama mboga mboga? sorry
Aina ya tambi. Kama spaghetti.
Upishi wake unachemsha macaroni yako mpk yawive.

Then unapika paste/curry kama ya kuku au nyama au seafood lkn ziwe vipande vdg vdg. Yaani kama nyama iwe ya kusaga au kama kuku awe amechambuliwa mdg mdg.

Then unamix na macaroni yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…