Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Ukunywe maji mengi!Fresh toka mtini View attachment 1771908
Naona unakula samaki kwa mboga! [emoji2375][emoji2375][emoji2375]
Kabisa, kitu cha jana hicho, sehemu flani hivi huko victoriaNaona unakula samaki kwa mboga! [emoji2375][emoji2375][emoji2375]
Haswaa. Ila siku hizi mna kila design. Kuna za spring. Nyengine kama kombe n.kEnheeee Angel hii macaroni ndio vile kama vibomba vimekatwa sio ? alaf si ngano ile
I love bamias too.Mimi napenda sana bamia yani bora uninyime nyama Lakini sio bamia[emoji23]Angel Nylon
Cc: Behaviourist[emoji39][emoji39]View attachment 1772178
Mambo yangu hayo!πππ
Aisee we jamaa ndo nini kutamanishana huyo sato?ukamdokoa kabisa ili mate yatutoke vizuri
Huo ugali wa yanga unga wake unapatikana
Upo, nilipata kitu cha ready made lkn! π€£Huo ugali wa yanga unga wake unapatikana
π π πAisee we jamaa ndo nini kutamanishana huyo sato?ukamdokoa kabisa ili mate yatutoke vizuri
Hivi bamia kwa english si ndio lady finger? Au okra?I love bamias too.
Sikosi kununua nikienda sokoni
Zote sawa!Hivi bamia kwa english si ndio lady finger? Au okra?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Raha ya hiyo limau unalikamulia kwenye pilipili na chumvi kwa mbali aisee ugali unateleza tu
Majina yote yanatumika.Hivi bamia kwa english si ndio lady finger? Au okra?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Mmhhh
Iko hivi : Hayo macaroni ni kama tambi au spaghetti zinauzwa kwenye packet zipo plain hazina taste yoyote.Ahaaa Usinichoke mie kupika sijui hata maharage siwezi....Labda chai tuu [emoji23][emoji23]
Hayo macaroni unaunga tuu sio
Mafuta....vitunguu maji....nyanya basi ?