I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Niliwahi kuona mtu anatengeneza namna hiyo ila yeye hakusaga ila alikata kata vipande na kukaanga kama chips vile. Daah maisha kujaribu. Fanya utupe mrejesho.Zile za kulia ubwabwa nasema..za njano zile
Nimewaza hivi uchukue uziponde ponde uchanganye na yai alaf ukaange kama chapati au vyovyote vile
Sijui itamake sense kweli ?
Kwa faida ya tusiofahamu hiki kinywaji. Ni kinywaji gani mkuu? Nilivyoona haraka haraka nilijua maji ya povu kabla sijasoma ulichoandika
π€£π€£maisha magumuMy dear naona unakunywa uji kwa picha ya samaki hapoπ
haaπββοΈ
Msosi wangu pendwa
Tulishaongea hapa hiki si chakula muache upumbavu πΏMsafiri kafiri nimekula sana hizi makitu, hapa kwetu sijabahatika kukutana nayoView attachment 1769407View attachment 1769406View attachment 1769405
Chemsha maji yatokote,then toss macaroni or spaghetti, ziungurushe 3 times tu dk 15 zishsaiva, toa mwagia maji baridi kiasi chuja then mafuta na chumvi changanya.
Hapana chezea hii kitu.Chakula cha taifa
View attachment 1758573
Naona kipande cha pingi hapo mkuu! π€£ π€£ π€£
Duh, hivi watokea Wuhan mkuu? π π π
Kuna kipindi tulikua route ya camp wildlife hunting tokea Selous mpaka Botswana ni pori kwa pori tu.Hatutanunua mkuu maana huku ni camp kama sobibor. Ukileta mambo ya raha watu hawataki.
Duh, hivi watokea Wuhan mkuu? π π π
Ulanzi uo Iringa uko ndo upoKwa faida ya tusiofahamu hiki kinywaji. Ni kinywaji gani mkuu? Nilivyoona haraka haraka nilijua maji ya povu kabla sijasoma ulichoandika