Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Zile za kulia ubwabwa nasema..za njano zile
Nimewaza hivi uchukue uziponde ponde uchanganye na yai alaf ukaange kama chapati au vyovyote vile
Sijui itamake sense kweli ?
Niliwahi kuona mtu anatengeneza namna hiyo ila yeye hakusaga ila alikata kata vipande na kukaanga kama chips vile. Daah maisha kujaribu. Fanya utupe mrejesho.
 
Lunch time
IMG_20210507_132002.jpg
 
Hatutanunua mkuu maana huku ni camp kama sobibor. Ukileta mambo ya raha watu hawataki.
Kuna kipindi tulikua route ya camp wildlife hunting tokea Selous mpaka Botswana ni pori kwa pori tu.
Tulikula ndonga hilo na maharage mwanzoni mpaka basi.
Ila walivyoanza kuwinda tulikula Nyamapori mpaka basi, maana leo watarudi na nyati mzima,kesho swala,sijui mara mnyama gani, vindege hivi kanga sijui nini kibao
 
Back
Top Bottom