Wewe Mtu Nyanya Chungu unaijulia.Nilienda garage moja wakati nasubiri gari mafundi walikuwa wanaandaa msosi nikaomba niwaandalie mboga (dagaa, bamia, nyanya chungu na mazagazaga mengine)
Duh ilikuwa hatari
Sent from Ili iweje
Kiongozi.
Kitu cha KAA tena.
[emoji15] [emoji125] [emoji125]Nipo Iringa stendi hapa, kwa Mangi....nikisubiri msosi wa asili ukiandaliwa.View attachment 569145
[emoji15] [emoji15]Mapishi ya Chura ni mengi sana.
Kitu ya Kukaanga, na pembeni SOSI ya haja.
Kiongozi ....
[emoji87] mko wawili?
Umejuaje? Utakuwa mtabiri mzuri weye [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji87] mko wawili?