Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Wacha tujenge taifa kwanza, kesi baadaye! 🤣 🤣Unatafuta kesi tu hayo mayai
Mmmh.ni balaa yule dada anajua aisee...yuko updated sana kwenye misos...ingawa sjaenda tena[emoji16]Misosi yake mingine ya kiswahili vipi,iko fresh?
taste na ya Dotscup nayo ni balaaHii kitu nilikula kwa open kitchen dada pendo...nilipelekwa na shemej yenu...ilikuaa tamu had shemej yenu akapata genye .
khaaa mbona bei sana
Unajua..watu wanazikoseaga hzo..kuna ambao huwa hawa bance sukar..inakua na misukariiiiii...sasa kwa sie wanywa pombe huwa inakua tabu.ila ukikutana na mjuzi..aisee anaibalance sugar unaweza shangaa umeimaliza yotetaste na ya Dotscup nayo ni balaa
Ndo bei zake hzo..ila kuna fake zake..ikipigwa moto mkali inababuka..pia inategemea na size..khaaa mbona bei sana
wanauza bei kali mno.Ndo bei zake hzo..ila kuna fake zake..ikipigwa moto mkali inababuka..pia inategemea na size..
Ni nzuri sana ukipata samaki fresh..ndio mchawi wangu yule watu wanabaki wakisema yule jamaa halewiii halewiii kumbe nikitoka nyumban nishajishindilia mambo yanguaise nimesikia ukipata supu ya samaki kabla ya kuanza vyombo inakata hangover
Ninayo nilinunua elfu 56..Kuna mwenye hii kitu hapa?View attachment 1782994
50 to 55 kwa wahindi mchikichi.siyo bei ghali huku bara ndo zimefikia 45-60k
KUMBEEEEE basi sawaNi nzuri sana ukipata samaki fresh..ndio mchawi wangu yule watu wanabaki wakisema yule jamaa halewiii halewiii kumbe nikitoka nyumban nishajishindilia mambo yangu
Sasa unapata raha gan mkuu unaenda maeneo halaf hulew...sie wengne tukienda maeneo lazima tuchangamke...Ni nzuri sana ukipata samaki fresh..ndio mchawi wangu yule watu wanabaki wakisema yule jamaa halewiii halewiii kumbe nikitoka nyumban nishajishindilia mambo yangu
Nitoe ushamba,hata kwenye gesi unaweza pikia au ni mkaa pekee?niliagiza China
ni nzuri nikiwa sijisikii kukaanga nakata kila kitu natia spices nafunika
nanyoosha miguu
narudi nageuza juu chini
nafunua tayari kwa kula
Mie naweka kwenye gas napunguza moto naweka na mafiga inapanda juu kidogoNitoe ushamba,hata kwenye gesi unaweza pikia au ni mkaa pekee?
We mzeee wewe[emoji23][emoji23]Maandalizi ya futari ya mwisho mwisho[emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1783263
🤣🤣🤣We mzeee wewe[emoji23][emoji23]
Ndio maana nimeacha..nimeona ni ujinga,niendako ningeanza kutafuta hata vile vilevi vya mateja ili nipate vibeSasa unapata raha gan mkuu unaenda maeneo halaf hulew...sie wengne tukienda maeneo lazima tuchangamke...