Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Kuna mwenye hii kitu hapa?
Screenshot_20210513-110755_Google.jpg
 
niliagiza China
ni nzuri nikiwa sijisikii kukaanga nakata kila kitu natia spices nafunika
nanyoonya miguu
narudi nageuza juu chini
nafunua tayari kwa kula
😋Nimeona video mahali hutumii mafuta ya kuongeza hata kidogo. Ilikugharimu shingapi kuagiza mpaka unaipata mkononi?
 
😋Nimeona video mahali hutumii mafuta ya kuongeza hata kidogo. Ilikugharimu shingapi kuagiza mpaka unaipata mkononi?
haihitaji mafuta kabisa
nilijaribu kuweka yakawa yanatatarika kama chumvi motoni

ilifika kama 33,000
ila pia agiza Zanzibar baada ya Eid nitamwagizia Mama yeye hawezi kusubiri kutoka China,
 
haihitaji mafuta kabisa
nilijaribu kuweka yakawa yanatatarika kama chumvi motoni

ilifika kama 33,000
ila pia agiza Zanzibar baada ya Eid nitamwagizia Mama yeye hawezi kusubiri kutoka China,
Shukrani madam kumbe bei nafuu hivyo. Itabidi tufanye mpango uagize mbili.
 
Back
Top Bottom