Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
[emoji39][emoji817]View attachment 1781312
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji39][emoji817]View attachment 1781312
Umejihami na vitu conc tayari, safi sana! 👌Pateni viburudisho kwanza.
Hapo kuna juice ya embe ng'ong'o, maji, juice ya embe, smoothie ya parachichi na juu kabisa mtindi [emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1781442
Huwa naanza hivyo hivyo, nakuja taratibu!Umejihami na vitu conc tayari, safi sana! [emoji108]
Sometimes vitamu kama hivi muweke na Location kabisa..huwezi jua pengine kuna mdau yuko jirani[emoji3064][emoji3][emoji3][emoji39][emoji39]View attachment 1781013
View attachment 1781014
Nyama kavu na samaki wa kuchoma mpishi mimi mwenyewe
Naomba idea za menu ya Eid mama..[emoji4]Nishaweka recipe juu Post numb 18042
Mimi naomba mwaliko 😄Naomba idea za menu ya Eid mama..[emoji4]
Karibu sana aisee..nakutumia locationMimi naomba mwaliko [emoji1]
Asante. Naisubiria locationKaribu sana aisee..nakutumia location
Asubuhi au ya mchana?Naomba idea za menu ya Eid mama..[emoji4]
Mchana..asubuhi haina shida. nimechoka biriani na pilau kila sikukuuAsubuhi au ya mchana?
Pika chips (French fry) na nyama kavu au maini au bata kama unakula.Mchana..asubuhi haina shida. nimechoka biriani na pilau kila sikukuu
Ooh thanks..kwenye kuku hapo ngoja nitafute nundu nchome mishkakiPika chips (French fry) na nyama kavu au maini au bata kama unakula.
Kama una jiko choma kuku au nyama barbecue (sekela)
Na salad na juice
Pika mihogo ya nazi, ndizi rosti na kuku deep fry... Pasikose chatni au ukwaju hapo. Shushia na sharubati ya passion! Happy holidays!Mchana..asubuhi haina shida. nimechoka biriani na pilau kila sikukuu
Hatari na nusu
Thank youPika mihogo ya nazi, ndizi rosti na kuku deep fry... Pasikose chatni au ukwaju hapo. Shushia na sharubati ya passion! Happy holidays!