ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Furaha yetu sio pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Furaha yako sio pesa analafu ume spend Salady ya 1000 hapoFuraha yetu sio pesaView attachment 1803739
Safi kabisa... Kitu kitoke na supu zito mkuu! 🤣Mshana Jr ,Kim Dawizzy ,
Samaki kanaswa Kama ambavyo na sisi kifo kinatunasa Na leo nilikuwa na njaa kweli View attachment 1803977View attachment 1803979
Hayo majani ni bangi?Mshana Jr ,Kim Dawizzy ,
Samaki kanaswa Kama ambavyo na sisi kifo kinatunasa Na leo nilikuwa na njaa kweli View attachment 1803977View attachment 1803979
Wa kindai hawa?Mshana Jr ,Kim Dawizzy ,
Samaki kanaswa Kama ambavyo na sisi kifo kinatunasa Na leo nilikuwa na njaa kweli View attachment 1803977View attachment 1803979
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]huo mchicha mkuu!Hayo majani ni bangi?
MchichaHayo majani ni bangi?
Sehemu moja inaitwa kisisi sijui km unaifahamWa kindai hawa?
Mkono wako huu?Maisha Ni matamu I wish tungekuwa hatufiView attachment 1805141
Mtu akiona hiyo Tanzania government executive note book anaweza kufikiri kuwa huwa huvuti bangi!Maisha Ni matamu I wish tungekuwa hatufiView attachment 1805141