[emoji39] u mpishi mzuriii.
Acha hiz mambo za diet utakuja kufa ndugu yangu...naona unacheza na vitamin c kwa kwenda mbele
Kausha mzee. Hii ni kwa week moja tu sio siku zote.Acha hiz mambo za diet utakuja kufa ndugu yangu...naona unacheza na vitamin c kwa kwenda mbele
Pa1 pa1 kaka.Kausha mzee. Hii ni kwa week moja tu sio siku zote.
Vipi hapo Moro? Leo hujavusha manzi gero?Pa1 pa1 kaka.
Doh udenda umenitokaWeekend mood. [emoji12]View attachment 1810234
Nangoj dinnerMaandalizi ya dinner View attachment 1810624
Kwio kwenye ubora wakeMaandalizi ya dinner View attachment 1810624
Hilo supu, kwanza upate na scones mbili hivi upate appetizer! ππΎββοΈπMaandalizi ya dinner View attachment 1810624
Hichi kitu acha kabisa, yaani utamu tyuu hapo! π