Uzi wa vyakula tu

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 1811633
Hehe, haiwezekani shaitan akanifanya hivyo! 🤔 Hapo naokota sembe pole pole, alafu niifanye ka nachambua chungwa maganda, top layer naitoa alafu kitu nikirudishe jikoni faster. Hapo pa mboga, ka ni kuku, namwosha, tena naenda mtafutia tamata zingine, niseti urojo upya, ka ni mboga za majani, wacha kuku wakale waongeze kilo! 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…