Hiko cheupe ni niniView attachment 1825799
Diet Day One
Zinaitwa ladeView attachment 1824938
Hivi vitu nimevipiga sana Usandawe kule, hizo laade ni noma sana.
Kabisa mkuu cha uswahilini
Hiko cheupe ni nini
Ukinywa supu hii siku nzima usitegemee kuongea mambo ya maana!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Supu ya utumboView attachment 1828339
Mnaujua mlenda kweliView attachment 1828834
Wapi ugaliSellfish ndo mimi nawala wote haoView attachment 1828836
Ndo nasonga hapa mshana kitu cha dona uhakikaWapi ugali
Wakuu mimi leo nawajia na kitafunwa hiki SAMBUSA YA MAHARAGE, naweza kusema: ni Made in Tanzania Mbagala, sababu sidhani kama kuna sehemu yoyote duniani unayoweza kupata SAMBUSA za maharageView attachment 1825428