Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni juice ya nini mkuu.?
Rafiki punguza kula vyakula vyenye sukari nyingi.MashaAllah. Mle kwa afya
Hapo mkuu . Papai passion embe carrot parachichiHiyo ni juice ya nini mkuu.?
Sawa mkuu, ntakunywa kimoyo moyoHapo mkuu . Papai passion embe carrot parachichi
Huu wali haujaiva....niamini....[emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85]
Huu wali haujaiva....niamini....[emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85]
Nishaaza mkakati best wangu.Rafiki punguza kula vyakula vyenye sukari nyingi.
Angel Nylon HornetZawadi kwa ... Nylon[emoji177]View attachment 1825425
Hii iko poa sana...
Angel Nylon Hornet
Maelekezo tafadhali nikitaka mzigo utoke kama huu.... Hiyo siku nikiweza itakuwa ni chapati maini week nzima [emoji2955]
Wee, umewiva! 🤣 🤣 🤣Huu wali haujaiva....niamini....[emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85]
Na bangi pia tayari umeacha?Nimeacha pombe
MUNGU AITWE MUNGU ACHENIView attachment 1833425
Bob Marley na 'ndugu' yake mkubwa Haile Selassie, walisema tusiache kamwe....! Don't have to be dread, to be a ganjaman! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Na bangi pia tayari umeacha?
WaitBob Marley na 'ndugu' yake mkubwa Haile Selassie, walisema tusiache kamwe....! Don't have to be dread, to be a ganjaman! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Viliumbwa ili vitumike kwa wenye Imani..ila matunda Ni katika vilio Bora kabisaNa bangi pia tayari umeacha?