Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Dinner
20210627_171339_mfnr.jpg
 
Angel Nylon Hornet

Maelekezo tafadhali nikitaka mzigo utoke kama huu.... Hiyo siku nikiweza itakuwa ni chapati maini week nzima [emoji2955]

Mimi siyo mpenzi wa kupika chapati Ila Nilijaribu mbinu fulani zikatoka lainii mchambuko

Nilitumia maji ya Baridi

Nikaweka maziwa ya Unga

Nikakandia samli kidogo

Sijakanda sana nikaacha donge likaumuka

Nikakata nikazungusha nikaacha tena nikachoma jion

Zilikuwa nzuri mno
 
Back
Top Bottom