ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
R.I.P JPMDonar countryView attachment 1828888
Perege hawa nikiwaona tu njaa hii hapa.Sellfish ndo mimi nawala wote haoView attachment 1828836
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole sanaPerege hawa nikiwaona tu njaa hii hapa.
Kipindi flani natoka Mbeya nikamkuta maza mmoja anao pale Ipogolo - Iringa.
Ilikua simple tu hesabu wako wangapi kahesabu na kunipa idadi nikamwambia funga wote hela hiyo kapumzike.
Dah yule mama kwa mbali naondoka namuona kwenye kioo kapiga magoti analia na kumwombea.
Nikafika nao Sinza Hotel moja bana we sijui luxure blaa blaa mi nikatupia visamaki mle kwenye room freezer kumbe halifanyi kazi na liko on[emoji2223]
Kimeumana!!! 😛😋 Nyama isiyo stress! 🤣Sema kimeumana [emoji39]View attachment 1831236
MashaAllah. Mle kwa afyaLast night
View attachment 1831880