Uzi wa vyakula tu


[emoji39][emoji39][emoji39]maperaView attachment 1829538
safi sana haya, kipindi flani udogoni kuna student mwenzangu walikua na shamba, sijui kama lakwao mipera kibao
sasa siku hiyo 40.
Doh tuko juu ya miti kibibi chake hiki hapa na vijukuu kadhaa majuto akiwemo Hapo nasoma nae darasa moja na ni mbabe hasa.
Nikala makonzi ikawa leo na kidhibiti mpaka kwenu,
Poa nikafunga mapera kwenye tshirt twendeni.
Tukaanza safari
E bana kuna kapori hapo kati tunapita nikabwaga tshirt na mapera yake alafu kula mbio Hussein Bolt Marathon yenyewe haifikii.
Nikaibuka home bibi ndio kaniona wa kwanza.
We shati liko wp?
Namjibu nimesahau mtoni.
Bibi alinipenda sana,RIP
ikawa tulia hapo hapo.
Kazama ndani karudi na tshirt vaa hii kabla hujaja ndani.
Nikavaa nikarudi ndani safe kimyaaa.
Ila huyo majuto tulitwangana siku alipokumbushia mpk akaomba poo
Maajabu siku hizi hata pera moja sili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…