Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Sawa mkuu,nikipata nitakujulisha.Mkuu nitafutie BBQ and fast food restaurant yoyote hata kwa kujitolea tu Mwezi mzima nipo tayari
Kwanini mkuuHaya yamenishinda kula! [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Hii ya malindi pale karibu na Bandarini
Angalia Ile duara nyeupe halafu Ile duara iliyofifia ukiitoa Ile iliyofifia unapata nini? Angali #19137 picha ya tatu ambazo zipo nne zoom ya Kwanza kushotoNdio nmeona km pancakes. Sema pan yake kama ina patterns za round
Rangi ni uamuzi wa mpishi, Mimi hupendalea kuweka rangi ya zambarau au wakati naandaa unga ukishakuwa tayari nachota kidogo kidogo naweka rangi tofauti tofauti, sema wengi wanapendelea hiyo ya orangeZile zipo orange colour bwana. Either ligh orange or dark kdg
Ile orange ni zafarani (saffron) kama sijakoseaAngalia Ile duara nyeupe halafu Ile duara iliyofifia ukiitoa Ile iliyofifia unapata nini?Rangi ni uamuzi wa mpishi, Mimi hupendalea kuweka rangi ya zambarau au wakati naandaa unga ukishakuwa tayari nachota kidogo kidogo naweka rangi tofauti tofauti, sema wengi wanapendelea hiyo ya orange
[emoji176][emoji176][emoji176][emoji176]Hii ya malindi pale karibu na Bandarini View attachment 1845284
Ile ni kama imepiga brown ya kuwiva zaidi ilipopikwa. Jalebi huwezi kuzipandishia hivyo mkuu. Huoni zilivyopangwa vilee kama mikate then imelegea. Jalebi zinakaza maana zipo crispy. Na Sio kubwa sanaAngalia Ile duara nyeupe halafu Ile duara iliyofifia ukiitoa Ile iliyofifia unapata nini?Rangi ni uamuzi wa mpishi, Mimi hupendalea kuweka rangi ya zambarau au wakati naandaa unga ukishakuwa tayari nachota kidogo kidogo naweka rangi tofauti tofauti, sema wengi wanapendelea hiyo ya orange
Sikuzipenda tu jinsi zilivyo japo mama wa watu aliyapika kiustadi na ujuzi wote!! Niliishia kula nyama tu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Kwanini mkuu
Mwanzoni nilifikiri popo! Maana naona kama vimacho macho vya popo!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Hii ya malindi pale karibu na Bandarini View attachment 1845284
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dddahh kama niingie ndani ya simu [emoji39][emoji849]
Kitu pambe sana hii[emoji7][emoji39]Matoke[emoji39][emoji39]View attachment 1844408
Nimeanza kuangalia mkono kabla ya chakula. Naona macho tatizo
naona tukubaliane tu kwamba jina moja linaweza kutumika kwenye kitu zaidi ya kimojaIle ni kama imepiga brown ya kuwiva zaidi ilipopikwa. Jalebi huwezi kuzipandishia hivyo mkuu. Huoni zilivyopangwa vilee kama mikate then imelegea. Jalebi zinakaza maana zipo crispy. Na Sio kubwa sana
[emoji29][emoji29][emoji29]ihiiii [emoji24][emoji24][emoji24]ihiiii [emoji24][emoji24][emoji24]Toast za pemba View attachment 1845186