Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Toast za pemba
IMG-20210707-WA0005.jpg
 
Ndio nmeona km pancakes. Sema pan yake kama ina patterns za round
Angalia Ile duara nyeupe halafu Ile duara iliyofifia ukiitoa Ile iliyofifia unapata nini? Angali #19137 picha ya tatu ambazo zipo nne zoom ya Kwanza kushoto
Zile zipo orange colour bwana. Either ligh orange or dark kdg
Rangi ni uamuzi wa mpishi, Mimi hupendalea kuweka rangi ya zambarau au wakati naandaa unga ukishakuwa tayari nachota kidogo kidogo naweka rangi tofauti tofauti, sema wengi wanapendelea hiyo ya orange
 
Angalia Ile duara nyeupe halafu Ile duara iliyofifia ukiitoa Ile iliyofifia unapata nini?Rangi ni uamuzi wa mpishi, Mimi hupendalea kuweka rangi ya zambarau au wakati naandaa unga ukishakuwa tayari nachota kidogo kidogo naweka rangi tofauti tofauti, sema wengi wanapendelea hiyo ya orange
Ile orange ni zafarani (saffron) kama sijakosea

Zambarau hio vp [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe ACT nini [emoji13]
 
Angalia Ile duara nyeupe halafu Ile duara iliyofifia ukiitoa Ile iliyofifia unapata nini?Rangi ni uamuzi wa mpishi, Mimi hupendalea kuweka rangi ya zambarau au wakati naandaa unga ukishakuwa tayari nachota kidogo kidogo naweka rangi tofauti tofauti, sema wengi wanapendelea hiyo ya orange
Ile ni kama imepiga brown ya kuwiva zaidi ilipopikwa. Jalebi huwezi kuzipandishia hivyo mkuu. Huoni zilivyopangwa vilee kama mikate then imelegea. Jalebi zinakaza maana zipo crispy. Na Sio kubwa sana
 
Kwanini mkuu
Sikuzipenda tu jinsi zilivyo japo mama wa watu aliyapika kiustadi na ujuzi wote!! Niliishia kula nyama tu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ile ni kama imepiga brown ya kuwiva zaidi ilipopikwa. Jalebi huwezi kuzipandishia hivyo mkuu. Huoni zilivyopangwa vilee kama mikate then imelegea. Jalebi zinakaza maana zipo crispy. Na Sio kubwa sana
naona tukubaliane tu kwamba jina moja linaweza kutumika kwenye kitu zaidi ya kimoja
 
Back
Top Bottom