Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hio juu husika kuipata ni shughuli,,,,,, okay sawapitia pitia huko juu utaona
mwee uzi wa vyakula tumeugeuza wa story[emoji2]
[emoji38][emoji38]
Hio juu husika kuipata ni shughuli,,,,,, okay sawa
No kawaida tu ntajua
Am waiting darling[emoji8]Twin ngoja nipungue nitakutumia before and after[emoji3]
Haya sasa pambana nayo [emoji1787]Hio juu husika kuipata ni shughuli,,,,,, okay sawa
huwezi sababu mwembamba [emoji23]ungekua chinene ungeweza.
mwaka 2017 nilikua na kilo zangu 68 mwenyewe nikawa nashangaa mtu anafanya vipi diet ngumu hivyo now nina 89 mbona naweza na ninaona nyepesi[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Haya sasa pambana nayo [emoji1787]View attachment 1856079
Wewe unae ngapi?Hebu nitumie kapicha nione hii 89 kg twin
Nashukuru Sana umenirahisishia maisha[emoji1]Haya sasa pambana nayo [emoji1787]View attachment 1856079
[emoji1][emoji1]dada angel kanisaidiaacha uvivu [emoji3]hazipo mbali ni hapo juu tu
Hii diet mbona kama inasababisha vidonda vya tumbo [emoji1]au ndio dalili zenyewe za mauaji[emoji38][emoji38]Haya sasa pambana nayo [emoji1787]View attachment 1856079
90 mkuu[emoji14][emoji14]Wewe unae ngapi?
Kuwa serious basi90 mkuu[emoji14][emoji14]
Tuanze mazoezi best[emoji14][emoji14]Kuwa serious basi
Mimi modo bana natamani niongeze kilo hapa niko na futi 6 inch 2 na kgs 70 hapa.Tuanze mazoezi best[emoji14][emoji14]
Bora hata hii inashawishi kufanyia diet[emoji4]