Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Hapa itakuwa mtaa wa Wuhan au Guangzhou! 🤣 🤣 🤣Karibuni kwenye vyakula vitamu aina ya wadudu mbalmbali kama inzi, siafu,mende, funza, jongoo nakadalika.View attachment 1857062View attachment 1857064View attachment 1857065View attachment 1857067View attachment 1857068View attachment 1857070
Asante sana,lakini hizo chapati za shemeji mbona nyeupe sana au kamera?View attachment 1857085
Karibuni uzunguni kwa shemeji.
[emoji16][emoji16][emoji16] nimeongezeka twin
Niliandika jana.
ni ufundi wake tu wa mapishi akiwa ndani ya kanga moja ...Asante sana,lakini hizo chapati za shemeji mbona nyeupe sana au kamera?
jamani nimepita kwenye uzazi ndiyo maana [emoji85]
Na mimi nataka niwe twin wa tatu😁[emoji16][emoji16][emoji16] nimeongezeka twin
Una churaaa[emoji849][emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na mimi nataka niwe twin wa tatu[emoji16]
Sema masoda yameharibu shoo[emoji848][emoji848]Na soda [emoji3047] poa tu [emoji108] View attachment 1857509
[emoji85][emoji85][emoji85] twiiiinTwin umeanza lini uongo[emoji3]
Kitimoto na mirinda nyeusi wapi na wapi mkuu?..mwageni maji ya gold/machozi ya simba hapo mezaniNa soda [emoji3047] poa tu [emoji108] View attachment 1857509
Hatumii maji hayoKitimoto na mirinda nyeusi wapi na wapi mkuu?..mwageni maji ya gold/machozi ya simba hapo mezani
Kidding.