Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Wewe jamaa ndiye mlaji wa vyakula bora wa huu uzi.
Mzee mzeee...
Hyo mishkak umepigwa ndugu yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilichoma mwenyewe home niHyo mishkak umepigwa ndugu yangu
Chaliangu umetisha hio mixer naielewa
Huyu jamaa ni kama doctor!Mzee mzeee...
Unatisha sana.. unakula vitu organic tu.
Ugali ,wali ,chapati,viazi vitamin,mihogo (Carbohydrates,na sukari) kaa nazo mbali ,consume very limited amount ya hivyo vitu ,sio usile kabisa ,kula robo ya ulivyokuwa unakula awali,halafu Ili kufidia ongeza consumption ya non carbmazoezi ukiacha mwili unarudi pale pale ndiyo ubaya wake.
hapo kwenye kuhesabu Cal nadhani ni best tatizo wengi hatuna elimu ya kujua chakula hiki kina Cal ngapi? Laiti tungejua naamini wengi tungemaintain miili yetu.
Natamani niwe nakula Cal 900 per day.
Ugali ,wali ,chapati,viazi vitamin,mihogo (Carbohydrates,na sukari) kaa nazo mbali ,consume very limited amount ya hivyo vitu ,sio usile kabisa ,kula robo ya ulivyokuwa unakula awali,halafu Ili kufidia ongeza consumption ya non carb
Ndani ya mwezi utapata matokeo yako, piga chai nyingi nyingi pia na limao kadiri unavyoweza