Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Screenshot_20210716_201421.jpg
 
mazoezi ukiacha mwili unarudi pale pale ndiyo ubaya wake.

hapo kwenye kuhesabu Cal nadhani ni best tatizo wengi hatuna elimu ya kujua chakula hiki kina Cal ngapi? Laiti tungejua naamini wengi tungemaintain miili yetu.

Natamani niwe nakula Cal 900 per day.
Ugali ,wali ,chapati,viazi vitamin,mihogo (Carbohydrates,na sukari) kaa nazo mbali ,consume very limited amount ya hivyo vitu ,sio usile kabisa ,kula robo ya ulivyokuwa unakula awali,halafu Ili kufidia ongeza consumption ya non carb
Ndani ya mwezi utapata matokeo yako, piga chai nyingi nyingi pia na limao kadiri unavyoweza
 
asante Mkuu nitazingatia
 
Back
Top Bottom