Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_7825.jpg
 
Nipe njia sasa nifanyeje! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Maana hutii hasara, huli sana nahisi hata matumizi ya nyumbani yatapungua kwa 50%
Dada yangu Angel Nylon hebu mthaminishe wifi yako mtarajiwa!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Mimi ndiye kaka yake,nakupa bure kabisa huyu msumbufu wala simtaki tena hapa nyumbani.Mahari ni kajogoo kamoja tu mkuu😁😁😁
 
Mimi ndiye kaka yake,nakupa bure kabisa huyu msumbufu wala simtaki tena hapa nyumbani.Mahari ni kajogoo kamoja tu mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]
Aki ya Nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jogoo mmoja!!
Hizi ni dharau kwa wazazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hata hivyo mama anatamani nisiondoke..niendelee kumtunza[emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aki ya Nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jogoo mmoja!!
Hizi ni dharau kwa wazazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hata hivyo mama anatamani nisiondoke..niendelee kumtunza[emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni msumbufu sana hapa nyumbani ndiyo maana hata umenikana.Sikutaki kabisa hapa nyumbani,huyo jamaa hata akileta Paka mmoja kama mahari yako sawa tu😁😁😁
 
Unaweza kujionea hapa kuwa chakula ambacho mwili wako unahitaji siyo chakula ambacho hisia zako au mdomo wako au utamaduni wako uliokulia unahitaji.

Wengi wenu hapa mkiona chakula hiki mtapatwa na kinyaa lakini ni chakula kilichojaa virutubisho na ambacho ndicho mwili wako unahitaji.

Tunasema kuwa umekua mkubwa kwenye masuala ya lishe na vyakula pale ambapo utaanza kula vyakula ambavyo mwili wako unahitaji na siyo vile ambavyo unavitamani wewe labda kwa utamu wake au kutokana na utamaduni uliokulia.

Kula vyakula ambavyo mwili wako unahitaji ni suala la kujifunza na kusoma juu ya vyakula bora na mapishi yake ili uweze kuvijua.
AsRuFk.jpg
 
Back
Top Bottom