Tunakula kwa macho sio! [emoji1]Sometimes tunakula na kushiba kwa imani[emoji24]
Hapa Arusha kuna mboga wanaita mnafu ni tamu sana ikiandaliwa vizuri nimekuja kuijulia ArushaNimemiss mboga za majani za Arusha
Huku Dar tunakula nyasi
Hapa Arusha kuna mboga wanaita mnafu ni tamu sana ikiandaliwa vizuri nimekuja kuijulia Arusha
Upo sahihi kabisa mkuu.Tatizo kubwa ambalo linatusumbua waafrika ni umasikini wetu wa akili wa kuwekeza nguvu zetu,akili zetu,maarifa yetu pamoja na ujanja wetu katika kupata watoto wengi badala ya kuwekeza katika kupata utajiri.Nakubaliana na wewe. Ugumu upo kwa familia zetu hizi una mke mna watoto sita, ndugu zako na ndugu wa mkeo jumla mpo kumi na tatu ndani uwezekano wa kumudu kula hivi ni mdogo
Nyama pendwa...Viheshimiwa vimeweka pozi siku inayosubiriwa bado
Emiir
Chaliifrancisco
Kim Dawizzy
Darmian View attachment 1871084
Unaitwa Mnavu, hii ni mboga ya watu wenye asili ya tanga(wazigua) Mnavu mbali na utamu wake, lakini tena huongeza damu kwa watu wenye matatizo ya kupungukiwa na damu na hata maafisa wa afya huwashauri wananchi kutumia mboga ya mnavu ili kuinarisha MFUMO wa damu yao mwilini.Hapa Arusha kuna mboga wanaita mnafu ni tamu sana ikiandaliwa vizuri nimekuja kuijulia Arusha
Uupate uliopikwa kwa tui la nazi... Mama! 👌😝 Kando yako bonge la ugali wa moto na glass yako ya juice ya ukwaju, baridiiiii! 🤣 🤣 🤣Unaitwa Mnavu, hii ni mboga ya watu wenye asili ya tanga(wazigua) Mnavu mbali na utamu wake, lakini tena huongeza damu kwa watu wenye matatizo ya kupungukiwa na damu na hata maafisa wa afya huwashauri wananchi kutumia mboga ya mnavu ili kuinarisha MFUMO wa damu yao mwilini.View attachment 1871221
Mkuu nakubaliana!Uupate uliopikwa kwa tui la nazi... Mama! [emoji108][emoji13] Kando yako bonge la ugali wa moto na glass yako ya juice ya ukwaju, baridiiiii! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hii supu ya maji nini?Leo bilabila
Nisamehe sheikh samahan sanaChief! Daah! Yaani unanionesha hotfire kweli? Si halali kwa upande wangu hivyo! [emoji2363][emoji2363][emoji2363]
Boonge moja la mboga mnafu nimeipenda halafu haikifu unaweza kuila kila siku kwa mtindo wa kubadili namna ya kuipikaMnafu na Saladi Ndo mboga zangu kuzipata Dar ni Changamoto
Mnafu ukiutia utumbo na nazi ni hatari sana
Kuna kuku mnafu nayo ni balaa tupu
Sahihi [emoji817]%Upo sahihi kabisa mkuu.Tatizo kubwa ambalo linatusumbua waafrika ni umasikini wetu wa akili wa kuwekeza nguvu zetu,akili zetu,maarifa yetu pamoja na ujanja wetu katika kupata watoto wengi badala ya kuwekeza katika kupata utajiri.
Hii inaingia kwenye kundi la bizzare foodsHii kitu Panya, nani hajaionja?View attachment 1871172View attachment 1871173View attachment 1871175View attachment 1871176
Ndio ndio. Hapa Arusha wanalima sana na ni maarufu hii mboga, ni tamu hakikaUnaitwa Mnavu, hii ni mboga ya watu wenye asili ya tanga(wazigua) Mnavu mbali na utamu wake, lakini tena huongeza damu kwa watu wenye matatizo ya kupungukiwa na damu na hata maafisa wa afya huwashauri wananchi kutumia mboga ya mnavu ili kuinarisha MFUMO wa damu yao mwilini.View attachment 1871221
[emoji120][emoji24][emoji24][emoji24] na kushiba harufu