Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Sasa matusi sio poa mkuu, watu wako tofauti hii dunia, na vyakula havilingani kamwe, everyone's got his/her own taste na tukiletewa hapa kuviona, mbona sio shida kwangu personally coz ndio tunajifunza tusiyoyajua kuhusu vyakula vya aina mbali mbali duniani. ✌️Tushasema hapa we pumbavu
Huu ni "UZI WA VYAKULA TU"
Inakuwaje unatuletea takataka zingine hapa Kmmk,
Lete vyakula sio huu upuuzi wako umeweka hapo kula na ukoo wako we nyau.
Sasa hapo tunaongea lugha moja
Weka maneno..
Hebu vaa miwani mkuu!(kidding) 🤣 🤣 🤣Kim Dawizzy Mkuu mbona naona kama ni mapande ya samaki?View attachment 1873710
Tayari mkuu! 🤣 🤣 🤣Weka maneno..
Ni kachori? Zina andaluwaje kachori kama unafahamu tujifunze[emoji1648] View attachment 1873532
MAHITAJI/INGREDIENTSNi kachori? Zina andaluwaje kachori kama unafahamu tujifunze