Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Na kesho tena
IMG-20210731-WA0009.jpg
 
Kwenye huu uzi naona mihogo imekuwa mingi sana
Mihogo ni chakula kitamu jaman ukipata ile milaini either ichemshwe unywe na chai au ikaangwe[emoji39][emoji39]na kachumbari au chachandu
Pia n chakula ambacho kinaweza kuliwa muda wowote asubuh mchana jion au usiku[emoji38][emoji38]
Binafsi napenda Sana mihogo.
 
Back
Top Bottom