Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji44][emoji44][emoji44]Mkuu unaishi duniani kweli yaan kisusio ni mboga ya damu na tena inapikwa damu peke yake? Hyo haikua kisusio mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka uende nyumbani kwa Hazard?
Kabisa! 😂 😂 😂Huyo alie pika hicho chakula hata nikimpa mahali milioni tatu ni sawa kabisa maaana si nitajenga shavu [emoji39][emoji39]
🏃🏃🏃Hizi mambo hapa mjini zinapatikana wapi? Hazard CFC
Hii bar iko wapi mkuu?Maeneo ya kawaida kunakoiishi wachaga wengi..kuna bar iinaiitwa timova wanatengeneza sana hiyo na kutengeneza mbege pia
Mara moja mojaView attachment 1876279
Mbezii mwisho hapaHii bar iko wapi mkuu?
Shukrani mkuuMbezii mwisho hapa
Alfa ya zaman?@CHSS CAFETERIA 1 View attachment 1870037
Plaza[emoji16]
Japo wanasema ni mtamu ila kwa muonekano wake hapo kwenye hiyo roast sidhan kama naweza kumla[emoji1785][emoji1785]Hii kitu Panya, nani hajaionja?View attachment 1871172View attachment 1871173View attachment 1871175View attachment 1871176
Umewaweka viungo?Mara moja mojaView attachment 1876279