Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Mkuu unaishi duniani kweli yaan kisusio ni mboga ya damu na tena inapikwa damu peke yake? Hyo haikua kisusio mkuu.
[emoji44][emoji44][emoji44]
Naishi sayari ya dunia hii hii...
Au basi majina ni tofauti[emoji1745]..
Ndiyo maana nimeandika kwa tahadhari mkuu.
 
Kitu cha utumbo na ugali... 💪🏼 Mboga nane leo 😂
Screenshot_20210802_213959.jpg
 
Back
Top Bottom