Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

201d4b1e20bb844d04b9038712be4239.jpg
Mbona natamaniiii
 
Hii kitu inaitwa Mandi Handhramut... nao pends sana Na wala huishibi haraka maana wali wake hauna mafuta ( it’s like steamed rice cooked by its own lamb soup)
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji115]
 
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Hii kitu inaitwa Mandi Handhramut... nao pends sana Na wala huishibi haraka maana wali wake hauna mafuta ( it’s like steamed rice cooked by its own lamb soup)
Kuna wakati natamani kuukimbia huu uzi.. Maana kwa njaa niliyonayo na huku nilipo, haya ni mateso bila haki
 
Back
Top Bottom