sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Tualikaneeee faza.NimelifumaniaView attachment 632606
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tualikaneeee faza.NimelifumaniaView attachment 632606
Senenee![]()
Hali ya hewa inaruhusu. [emoji28]
[emoji39] [emoji39]
Kwa marotarota haya asee lazima ufutuke uwe tukunyema [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mazaga gani haya?
Kwa marotarota haya asee lazima ufutuke uwe tukunyema [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi kula msosi kama huo labda iwe hamna namna ingineHahah umeona eeh
Mimi kula msosi kama huo labda iwe hamna namna ingine
Sipendi mafuta mafuta mimi mzee wa michemsho michemsho..Hupendi au unaogopa unene?
Sipendi mafuta mafuta mimi mzee wa michemsho michemsho..
Hahaha ndio mpaka ikitokea kwamba hamna namna na ukute nina nenge harati itabidi tu nile mafuta japo kwa shidaMara moja moja unajipoza na mafuta mafuta..otherwise utapauka bure hahaj
Wametulia kama hawaoni vile [emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Mchana ndo huu jamani muda wa lunch